Daktari aliyeshtakiwa kumnajisi msichana aachiliwa kwa dhamana ya Sh100,000

NA TITUS OMINDE DAKTARI mmoja mjini Eldoret ameshtakiwa Ijumaa kwa kumnajisi msichana wa umri wa miaka 15 wa katika chumba kimoja cha hoteli mjini Eldoret, Kaunti. Nakala ya mashtaka imeonyesha kuwa Dkt Robert Kipkoech alimnajisi mtoto huyo Agosti 26 na 27 katika chumba cha hoteli iliyoko kaunti ndogo ya Turbo. Mahakama imeambiwa kuwa mshtakiwa anafanya […]