Dai mganga alishauri washukiwa wafunike Sh700, 000 za wizi chunguni ili ziongezeke

Taifa Leo
Published: May 30, 2023 11:30:33 EAT   |  News

NA BRIAN OCHARO MAAFISA wa polisi wamedai kuwa, washukiwa wawili waliohusishwa na wizi wa Sh700, 000 za mwajiri wao walizipeleka kwa mganga ili ziongezeke. Kwenye hati zilizowasilishwa katika Mahakama ya Mombasa, polisi wamedai washukiwa Zanjabil Musumba Mbururu na Desmol Dust Wamalwa, waliagizwa na mganga kuziweka kwenye chungu bila kukifungua kwa miezi mitatu ili ziongezeke. Inadaiwa […]