Chuo Kikuu cha Mtandaoni kuzinduliwa rasmi mwezi huu, aahidi Rais Ruto

Taifa Leo
Published: Jun 02, 2023 06:25:18 EAT   |  Educational

NA CHARLES WASONGA KUFIKIA mwishoni mwa mwezi huu wa Juni, Wakenya wataanza kusomea shahada za digrii kupitia mtandaoni kufuatia kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Huduma za Mtandaoni cha Kenya (Open University of Kenya). Akiongea mnamo Alhamisi wakati wa maadhimisho ya 60 ya Madaraka Dei, kiongozi wa nchi alisema wakati huu kozi zinapakiwa mtandaoni na masomo […]