Chuo Kikuu cha Mount Kigali chapata ‘miguu’ rasmi kujisimamia

Taifa Leo
Published: Sep 19, 2023 11:13:31 EAT   |  Educational

NA LAWRENCE ONGARO CHUO Kikuu cha Mount Kigali kimepewa kibali maalum cha utambulisho rasmi. Mnamo Aprili 2023, baada ya kujiendeleza kwa miaka mitano, chuo hicho, ambacho kilianza kama bewa la Chuo Kikuu cha Mount Kenya (MKU) jijini Kigali, Rwanda kilikabidhiwa mikoba ya kujiendeleza kivyake. Hafla hiyo ya kupata kibali kipya kuwa chuo cha kujitegemea ilihudhuriwa […]