Chipukizi Kibet azoa tuzo ya SJAK

NA GEOFFREY ANENE CHIPUKIZI Aldrine Kibet sasa analenga juu zaidi baada ya kupata motisha ya kuibuka Mwanamichezo Bora wa Agosti katika tuzo ya Chama cha Waandishi Habari za Michezo Kenya (SJAK), mnamo Alhamisi. Mwanafunzi huyo wa shule ya upili ya wavulana ya St Anthony High Kitale alitwaa tuzo hiyo baada ya kuongoza shule yake kushinda […]