Chifu ashambuliwa kwa kujaribu kusimamisha disko matanga Kisumu

Taifa Leo
Published: Sep 20, 2023 14:46:00 EAT   |  Entertainment

NA MERCY KOSKEI CHIFU  mmoja kutoka Kaunti ya Kisumu anauguza majeraha baada ya kushambuliwa na wanakijiji wenye ghadhabu, alipokuwa akijaribu kusimamisha muziki wakati wa ‘disco matanga’. Kisa hicho kilitokea wikendi katika kijiji cha Nduru Kaunti ndogo ya Kadibo. Chifu huyo wa lokesheni ya Kawino Kusini kwa jina Michael Buodo alifika eneo hilo Jumamosi usiku Septemba […]