‘Cherera 4’ waibuka wakishikilia kura ya 2022 haikuwa halali, mwaka mmoja baadaye

Taifa Leo
Published: Sep 28, 2023 17:55:16 EAT   |  Sports

Na BENSON MATHEKA ALIYEKUWA mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Bw Wafula Chebukati na makamishna waliomuunga mkono alipotangaza matokeo ya kura ya urais mwaka uliopita, jana, walisusia kikao cha Kamati ya Mdahalo wa Kitaifa katika Bomas, wakisema wangesaliti wafanyakazi wa tume walioteswa na kuuawa wakiwa kazini. Hata hivyo, aliyekuwa naibu wake Juliana […]