Cherargei akashifu tena Ababu, mara hii kuhusu mwanariadha aliyevamiwa na mbwa Argentina

NA MERCY KOSKEI SENETA wa Nandi Samson Cherargei amemkashifu vikali Waziri wa Michezo Ababu Namwamba kwa madai ya kukosa kuchukua hatua baada ya mwanariadha wa Kenya kushambuliwa na mbwa nchini Argentina. Mwanariadha huyo alishambuliwa na mbwa wakati wa mbio za Buenos Aires zilizofanyika Jumapili, Septemba 24, 2023. Katika taarifa kupitia mtandao wake wa kijamii Twitter, […]