CHARLES WASONGA: Suala la jisia halifai kutumika na IEBC kuvizuia vyama kushiriki uchaguzi

Taifa Leo
Published: May 11, 2022 06:15:57 EAT   |  General

NA CHARLES WASONGA SIO maamuzi yote ya mahakama yanapaswa kuchukuliwa kuwa halali na yanayopaswa kukubalika na watu wote. Hii ndio maana kipengele cha 159 cha Katiba ya sasa, mtu yeyote anaweza kukata rufaa dhidi ya maamuzi ya ngazi zote za mahakama isipokuwa yale ya Mahakama ya Juu. Ni kwa misingi hii ambapo ninatoa wito kwa […]