Bunge la Uganda lapitisha mswada unaopendekeza kifungo cha hadi miaka 10 kwa mashoga

Taifa Leo
Published: Mar 23, 2023 08:32:44 EAT   |  News

NA AFP KAMPALA, UGANDA SERIKALI ya Uganda imepiga marufuku ushoga huku watakaopatikana na hatia kuadhibiwa vikali. Hii ni baada ya Bunge la Uganda kupitisha mswada unaopendekeza kifungo cha hadi miaka 10 kwa mashoga. Mswada huo uliidhinishwa na wabunge 389 waliokuwepo. Spika wa bunge hilo, Anita Among, aliwapongeza wabunge hao akisema kwamba walichofanya ni kwa manufaa […]