Brown Mauzo atangaza kutengana na Vera Sidika

NA MWANDISHI WETU MWANAMUZIKI Brown Mauzo ametangaza kuvunjika kwa uhusiano kati yake na soshiolaiti Vera Sidika. Kwenye ujumbe wake, Fredrick Mutinda almaarufu Brown Mauzo alisema kuwa walifikia uamuzi wa kutengana baada ya mazungumzo mengi ya kina na kuwaomba wafuasi wao kuwapa muda. Mauzo ambaye aliungama kuwa mahusiano yake na Vera yalileta watoto wawili, Asia Brown […]