Brian Chira aweka kiburi kando, aomba msamaha kwa waliomsaidia

Taifa Leo
Published: Sep 28, 2023 03:50:42 EAT   |  General

NA FRIDAH OKACHI MTENGENEZAJI maudhui kwenye jukwaa la TikTok, Brian Chira, ameomba msamaha kwa mara nyingine kufuatia matamshi yake machafu mtandaoni, yaliyolenga waliomsaidia.  Kijana Brian anadai kuwa kwa muda wa siku tatu mfululizo zilizopita, amekuwa akitatizika kutokana na ugumu wa maisha. Awali, baadhi ya wafuasi wake walijitokeza kumsaidia kwa hali na mali. Aidha, alichangiwa zaidi […]