Bodaboda za stima zaanza kuwaniwa watumizi wakisema hazihitaji fundi kila wakati

NA FRIDAH OKACHI IDADI ya Wakenya ambao wamekumbatia matumizi ya pikipiki za umeme imeanza kuimarika kwa miezi michache iliyopita. Wauzaji wa pikipiki hapa jijini Nairobi, wanasema wamekuwa wakishuhudia ongezeko hilo kila uchao. Jimmy Tume ambaye ni mmiliki wa kampuni ya E-Worker Mobility na muuzaji wa pikipiki za umeme jijini Nairobi, anasema punde tu baada ya kuongezeka kwa […]