Boda ‘fisi’ wa kubeba vipusa bure aacha kazi bei ya petroli ilipopanda

Taifa Leo
Published: Sep 22, 2023 09:20:06 EAT   |  Business

NA DENNIS SINYO MASABA, CHEPTAIS JOMBI aliyekuwa na mazoea ya kubeba vidosho bila kuwalipisha kwenye pikipiki yake, ameacha kazi hiyo baada ya petroli kupanda bei. Kulingana na mdokezi, jamaa alikuwa na mazoea ya kubeba akina dada bila malipo. Wenzake walimuonya tabia hiyo ingemletea hasara lakini aliwapuuza. Majuzi, jamaa aliamua kuacha biashara hiyo kwa kukosa pesa […]