Biashara za hoteli, gesti zanoga Mokowe miaka mitatu baada ya bandari ya Lamu, barabara kukamilika

Taifa Leo
Published: Mar 19, 2023 15:54:43 EAT   |  Business

NA KALUME KAZUNGU BIASHARA za hoteli na gesti zinazidi kuchipuka na kunoga eneo la Mokowe, Kaunti ya Lamu tangu kufunguliwa rasmi kwa shughuli za uchukuzi bandarini Lamu (Lapsset) karibu miaka mitatu iliyopita. Kukamilika na kufunguliwa rasmi kwa barabara kuu ya Lamu-Witu-Garsen pia kumenawirisha biashara hiyo. Uchunguzi uliofanywa na Taifa Jumapili umebaini kuwa zaidi ya hoteli […]