Biashara ya utumbo wa samaki aina ya Sangara yanoga Homa Bay

Na GEORGE ODIWUOR Biashara ya utumbo wa sangara (Nile Perch) imevuma sana miongoni mwa wavuvi katika Ziwa Viktoria kuliko hata samaki wenyewe, kutokana na malipo mazuri yanayohusishwa nao. Wavuvi wamekuwa wakiwauzia wanunuzi utumbo huo kwa bei ya juu zaidi na mvuvi anaweza kujizolea zaidi ya Sh35,000 kwa kila kilo. Utumbo kwa kawaida hutolewa ndani ya […]