Biashara ya nyama inachangia mazingira kuzorota, kongamano laambiwa

MARY WANGARI NA KNA KUNDI la watetezi wa Haki za Wanyama Duniani limetoa wito kwa mataifa ya Afrika kuangazia maslahi ya mifugo katika mdahalo unaoendelea wa Kongamano la Mabadiliko la Tabianchi Afrika 2023. Wakizungumza Jumatatu Septemba 4, 2023 jijini Nairobi, wanaharakati hao walihimiza kuanzishwa kwa mifumo mipya isiyo ya kikatili inayowezesha kustawisha sekta ya ufugaji. […]