Bei ghali yamaliza ladha ya Krismasi

Taifa Leo
Published: Dec 25, 2022 08:14:21 EAT   |  Travel

NA WAANDISHI WETU BEI ya juu ya bidhaa imetatiza shamrashamra ambazo huandamana na sherehe za Krismasi kote nchini. Katika mahojiano na Taifa Jumapili, Wakenya kutoka maeneo mbalimbali ya nchi walisema kuwa hali ngumu ya uchumi imewafanya kukosa kuandaa mapochopocho ya Krismasi kwa ajili ya familia zao. Usalama nao uliimarishwa maeneo mbalimbali hasa Pwani mwa Kenya ambako watalii […]