Barcelona washuka zaidi ligini baada ya kukabwa koo na Osasuna

Taifa Leo
Published: Dec 13, 2021 15:08:12 EAT   |  Sports

Na MASHIRIKA MASAIBU ya Barcelona katika kampeni za msimu huu yaliendelezwa na Osasuna waliowalazimishia sare ya 2-2 kwenye Ligi Kuu ya Uhispania (La Liga) mnamo Jumapili. Matokeo hayo yaliteremsha Barcelona hadi nafasi ya nane kwenye msimamo wa jedwali la La Liga kwa alama 15 zaidi nyuma ya viongozi Real Madrid. Matineja Nicolas Gonzalez na Abdessamad […]