Bangi imeharibu ‘transfoma’ za vijana wengi Lamu – polisi

Taifa Leo
Published: May 30, 2023 11:45:12 EAT   |  News

NA KALUME KAZUNGU IDARA ya polisi tarafa ya Mpeketoni, Kaunti ya Lamu imelalamika kwamba inapokea ripoti nyingi za mizozo ya wanandoa inayoaminika kuchangiwa na uvutaji bangi, utafunaji wa muguka na matumizi ya dawa za kulevya. Afisa Msimamizi wa Kituo cha Polisi cha Mpeketoni, Richard Ngunjiri anasema uvutaji bangi unaoshuhudiwa kwa wingi, hasa Mpeketoni, Baharini na […]