Azimio wazima mazungumzo ya maridhiano hadi wakati usiojulikana

NA CHARLES WASONGA HATIMAYE muungano wa Azimio la Umoja-One Kenya umetangaza kuwa mazungumzo ya maridhiano kati yake na Kenya Kwanza yameahirishwa hadi muda usiojulikana. Kwenye barua aliyomwandikia mwenyekiti mwenzake, George Murugara (Mbunge wa Tharaka) mnamo Jumatano, Mei 31, 2023, Otiende Amollo (Mbunge wa Rarieda) ambaye ni mwenyekiti wa wawakilishi wa Azimio katika mazungumzo hayo, amesema […]