Azimio wapendekeza Mwenje awe naibu kiranja wa wachache Bungeni

NA JUSTUS OCHIENG KUNDI la Wabunge wa mrengo wa Azimio La Umoja-One Kenya limekutana kujadili masuala ya uongozi wa wachache Bungeni, Mswada wa Bajeti 2023 na hali ya majadiliano baina yao na mrengo wa Kenya Kwanza. Kwenye mkutano huo, viongozi wa Azimio wamekubaliana kwamba wanampendekeza Mbunge wa Embakasi Magharibi Mark Mwenje awe naibu kiranja wa wachache […]