Azimio wapeleka notisi ya maandamano ya wiki ijayo kwa mkuu wa polisi Nairobi

Taifa Leo
Published: Mar 22, 2023 11:11:33 EAT   |  News

NA MARY WAMBUI VIONGOZI wa mrengo wa Azimio la Umoja-One Kenya Wycliffe Oparanya, Eugene Wamalwa, Jeremiah Kioni na George Wajackoyah leo Jumatano wamepeleka notisi ya maandamano yao ya juma lijalo kwa mkuu wa polisi Nairobi Adamson Bungei. Wamemkabidhi katibu wa Bungei barua hiyo kwa sababu yeye mwenyewe hakuwa ofisini. Tunaandaa habari kamili…