Avokado ni dhahabu shambani mwake

NA SAMMY WAWERU KIJIJI cha Nyamesocho katika Kaunti ya Kisii ni chenye shughuli chungu nzima, kuanzia kilimo, ufugaji na biashara. Kwenye shamba la Shem Oseko, mkaazi, amelipamba kwa mseto wa matunda na mimea. Kilimo cha avokado, hata hivyo kina mvuto zaidi Oseko akikiri kimemsaidia kubadilisha maisha yake. Alikiingilia zaidi ya miaka kumi iliyopita, baada ya […]