Atwoli atengwa vyama vikipinga mswada wa Ruto

Taifa Leo
Published: May 30, 2023 16:09:30 EAT   |  General

NA BENSON MATHEKA KATIBU Mkuu wa Muungano wa Vyama vya Wafanyakazi nchini Kenya (COTU- K), Bw Francis Atwoli ametengwa na wafanyakazi kwa kuunga mkono Mswada wa Fedha wa 2023. Upinzani dhidi ya mswada huo umekuwa ukiongezeka huku vyama vya wafanyakazi vilivyo chini ya Cotu vikijitenga na Bw Atwoli ambaye kwa mujibu wa wadhifa wake, anafaa […]