Atwoli ahimiza Ruto kujenga hoteli za kifahari kilele cha Mlima Kenya kuvutia watalii

Taifa Leo
Published: Aug 28, 2023 05:30:09 EAT   |  Travel

NA SAMMY WAWERU KATIBU Mkuu wa muungano wa kutetea wafanyakazi nchini (Cotu), Francis Atwoli amemshauri Rais William Ruto kuunda mikahawa ya kifahari katika kilele cha Mlima Kenya, akisema hatua hiyo itachangia kuvutia watalii. Kulingana na Bw Atwoli, Kenya ina raslimali nyingi ambazo zinahitaji ubunifu pekee kuteka hela. Huku mbuga za wanyama na fuo za Pwani […]