Atakayechukua nafasi ya Sabina Chege kutajwa katika PG ya Azimio

Taifa Leo
Published: May 30, 2023 10:21:16 EAT   |  News

NA CHARLES WASONGA KIONGOZI wa Wachache katika Bunge la Kitaifa Opiyo Wandayi ametangaza kuwa ni kwenye mkutano wa kundi la Wabunge wa Azimio (PG) unaofanyika leo Jumanne, Mei 30, 2023 ambapo watataja atakayeteuliwa awe Naibu Kiranja wa Azimio katika Bunge la Kitaifa kuchukua mahala pa mbunge mbunge maalum Sabina Chege. Kwenye kikao na wanahabari katika […]