Arsenal wataruka kamba ya Aston Villa ugani Villa Park?

LONDON, Uingereza LONDON, Uingereza: Baada ya Tottenham na Newcastle kuduwazwa Alhamisi, macho sasa yanaelekezwa kwa viongozi Arsenal wanaotarajiwa kupata mtihani mgumu dhidi nambari tatu Aston Villa ugani Villa Park. Tottenham ya kocha Ange Postecoglou walitangulia kufunga kupitia kwa Cristian Romero dakika ya 11, lakini wakaishia kunyamazishwa na West Ham kupitia mabao ya kipindi cha pili […]