Antony anayekabiliwa na tuhuma za kuwadhulumu wanawake kukosa mechi ya Man-U dhidi ya Crystal Palace

NA AFP LONDON, UINGEREZA WINGA wa klabu ya Manchester United, Antony, anatarajiwa kujiunga na wenzake kambini kwa mazoezi huku akiendelea kushirikiana na polisi wanaochunguza madai yanayomwandama ya udhalilishaji wanawake, klabu imetangaza Ijumaa. Staa huyo raia wa Brazil, ambaye amekanusha vikali madai hayo, alipewa likizo na Man-U mnamo Septemba 10. Alirejea nchini Uingereza mapema wiki hii […]