Amerika, UN zaonya Uganda kwa kuharamisha ushoga

NA WINNIE ONYANDO UMOJA wa Mataifa na Amerika zimelaani hatua ya nchi ya Uganda kuharamisha ushoga nchini humo. UN na Amerika zinasema kuwa msimamo wa nchi hiyo inaendea kinyume na haki za binadamu. Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa alimtaka Rais wa Uganda Yoweri Museveni kutotia saini mswada huo. Volker Türk […]