Aliyetaka kula tunda kwa nguvu ameomba msamaha akitaka turudiane

Taifa Leo
Published: Sep 28, 2023 19:25:33 EAT   |  General

SHANGAZI; Kuna mwanamume aliyekuwa mpenzi wangu lakini nikamchukia na kumuacha alipotaka kunilazimisha tushiriki mahaba. Sasa amerudi kwangu akiomba turudiane. Nipe ushauri. Hatua ya mwanamume huyo ni ishara kuwa anakupenda kwa dhati na hataki kukupoteza. Kama bado unampenda, mkubali na umwelezee jinsi unavyotaka muendeshe uhusiano wenu. Miaka 15 sijapata mke, nimerogwa? Nilianza kutafuta mke nikiwa na […]