Aliyeajiriwa kulisha mifugo ashtakiwa kwa kuuza ng’ombe 10 wa tajiri wake kwa Sh500 kila mmoja

Taifa Leo
Published: Mar 10, 2023 08:04:55 EAT   |  Business

NA JOSEPH NDUNDA MWAJIRIWA wa kulisha mifugo jijini anayedaiwa kupanga njama na mtu mwingine kuuza ng’ombe 10 wa mwajiri wake katika soko la Burma jijini Nairobi ameshtakiwa kwa wizi wa mifugo. Daniel Enaantoyie ameshtakiwa pamoja na Lazarus Mole mbele ya Hakimu Mkuu wa Makadara Francis Kyambia kwa kuiba ng’ombe wenye thamani ya Sh600,000 wa Jackson […]