Alfred Mutua asema Kenya Kwanza nd’o mpango mzima

NA SAMMY WAWERU GAVANA wa Machakos Alfred Mutua ametetea vikali hatua yake ya kujiunga na muungano wa Kenya Kwanza unaoongozwa na Naibu Rais Dkt William Ruto. Dkt Mutua amekuwa mwanachama wa Azimio, muungano unaoongozwa na kiongozi wa ODM, Raila Odinga, na mnamo Jumatatu alitangaza kuugura akajiunga na kambi ya Dkt Ruto. Kiongozi huyo wa Maendeleo […]