Akothee ashambuliwa kwa kuvalia nusu uchi akitumbuiza mashabiki Sweden

NA SAMMY WAWERU MWANAMUZIKI tajika Esther Akoth maarufu kwa jina la jukwaa kama Akothee amejipata kwenye kikaangio moto, kwa kuvalia nusu uchi wakati akitumbuiza mashabiki wake Uswidi (Sweden). Akiwa ameshika mikrofoni mkononi, Akothee anaonekana akinengua kiuno makalio yakiwa nusu uchi. Alichapisha picha katika akaunti zake za mitandao ya kijamii, hatua iliyoghadhabisha baadhi ya wafuasi wake. […]