Akaunti za M-Pesa za Pasta Ezekiel Odero zafunguliwa akisamehe waliomtesa

Taifa Leo
Published: May 31, 2023 06:36:11 EAT   |  News

Na RICHARD MUNGUTI WAUMINI zaidi ya milioni tano wa Kanisa la Pasta Ezekiel Odero wamepata afueni baada ya kampuni ya Safaricom kufungua laini saba za MPesa za kanisa hilo zilizokuwa zimezimwa. Agizo la kufunguliwa kwa laini hizo kulitokana na kampuni hiyo kuwapa polisi nakala za miaka sita za laini hizo. Punde tu mahakama ilipoamuru laini […]