AK yaitisha mkutano na makocha wakune vichwa jinsi ya kushinda mbio za masafa marefu

Na AYUMBA AYODI SHIRIKISHO la Riadha Kenya (AK) limeitisha mkutano na makocha 30 kujadili na kuangalia jinsi Kenya inavyoweza kupata matokeo mazuri katika mbio ndefu kwenye Riadha za Dunia jijini Budapest, Hungary mwezi Agosti 2023. Mkurugenzi wa mashindano wa AK, Paul Mutwii amefichua kuwa makocha hao hutia makali wanariadha wanaoshiriki mbio za mita 3,000 kuruka […]