Afueni serikali ikiongezea wanafunzi muda kutuma maombi ya mkopo Helb

Taifa Leo
Published: Sep 06, 2023 18:25:41 EAT   |  Educational

Na DAVID MUCHUNGUH WAZIRI wa Elimu Ezekiel Machogu jana aliongeza muda wa wanafunzi kutuma maombi ili kupata ufadhili wa elimu ya juu kwa kipindi cha mwezi mmoja. Bw Machogu alichukua hatua hiyo kutokana na idadi ndogo ya wanafunzi ambao walikuwa wametuma maombi ya kupata mkopo au ufadhili wa masomo yao kwenye Vyuo vya Vikuu na […]