Afisa aliyeangamiza mtoto Juni 12, 2022 hajaadhibiwa mwaka mmoja baadaye

Taifa Leo
Published: Sep 03, 2023 15:30:16 EAT   |  Educational

NA MERCY KOSKEI AFISA mmoja mkuu wa polisi anayehusishwa na mauaji ya Whitney Atieno, mwanafunzi wa shule ya upili, katika mtaa wa Lake View Nakuru ameachiliwa huru mwaka mmoja baada ya kisa hicho kilichowakera wakazi. Inadaiwa kuwa Atieno, 19 ambaye alikuwa mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya Upili ya Nakuru Central, alipigwa risasi […]