16-BORA UEFA: Man-United kukwaruzana na Atletico nayo Real Madrid iikabili PSG

Taifa Leo
Published: Dec 13, 2021 15:45:32 EAT   |  Sports

Na MASHIRIKA MANCHESTER United watakuwa na kibarua kizito cha kusonga mbele kwenye kampeni za Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) msimu huu baada ya kutiwa katika zizi moja na Atletico Madrid ya Uhispania katika raundi ya 16-bora. Real Madrid ambao ni wafalme mara 13 wa UEFA pia watakuwa na mtihani mgumu dhidi ya Paris Saint-Germain (PSG) kutoka Ufaransa. […]