Peruzi Live
General News Entertainment Travel Jobs and Career Educational Technology Business Tenders Sports International All News
  • Home
  • Categories
  • Topics
  • App
  • Settings

Zimbabwe, Botswana kusafiri bila pasipoti

Habari Leo
Published: Dec 09, 2023 08:49:20 EAT   |  General

MATAIFA ya Zimbabwe na Botswana yanafanyia kazi mpango wa kufuta mahitaji ya hati ya kusafiria ‘pasipoti’ kwa raia wa nchi zingine. Hatua hiyo ni katika kuungana na baadhi ya nchi Afrika kupunguza vizuizi vya kuingia wageni kutoka katika baadhi ya nchi. “Sisi wawili tumekubaliana kwa sababu sisi ni Waafrika. Tunapaswa kuingia Botswana, kuingia Zambia, kuingia …

The post Zimbabwe, Botswana kusafiri bila pasipoti first appeared on HabariLeo.

MATAIFA ya Zimbabwe na Botswana yanafanyia kazi mpango wa kufuta mahitaji ya hati ya kusafiria ‘pasipoti’ kwa raia wa nchi zingine.

Hatua hiyo ni katika kuungana na baadhi ya nchi Afrika kupunguza vizuizi vya kuingia wageni kutoka katika baadhi ya nchi.

“Sisi wawili tumekubaliana kwa sababu sisi ni Waafrika. Tunapaswa kuingia Botswana, kuingia Zambia, kuingia Kenya. Kwa nini tujizuie?” Rais wa Zimbabwe Emmerson alisema.

“Tunajiwekea vikwazo sisi wenyewe ambao ni wakoloni kuliko wao wazalendo, hivyo tukakubaliana kuwa Rais Masisi mwenyewe kwa upande wake na mimi kwa upande wangu tunakwenda kuziagiza idara husika kupunguza vikwazo hivi vya watu kusafiri kati ya nchi zetu mbili”. ameongeza.

The post Zimbabwe, Botswana kusafiri bila pasipoti first appeared on HabariLeo.

View Original Post on Habari Leo

Explore Category

  • General
  • News
  • Entertainment
  • Travel
  • Jobs and Career
  • Educational
  • Technology
  • Business
  • Tenders
  • Sports
  • International

  • NECTA Results
  • Job Vacancies
  • Football
  • Movies
  • Series
  • Settings
  • About us
  • Advertising
  • Privacy Policy
  • TZ

Copyright Peruzi Live © 2025 All Right Reserved