Peruzi Live
General News Entertainment Travel Jobs and Career Educational Technology Business Tenders Sports International All News
  • Home
  • Categories
  • Topics
  • App
  • Settings

Watumiaji Intaneti wafikia milioni 34

Habari Leo
Published: Dec 09, 2023 11:03:08 EAT   |  News

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo katika taarifa yake ameeleza Watanzania 34.4 hadi sasa wanatumia huduma ya Intaneti. Mkumbo ametoa takwimu hizo leo katika maadhimisho ya sherehe za miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara na mkutano wa kwanza wa kitaifa wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika …

The post Watumiaji Intaneti wafikia milioni 34 first appeared on HabariLeo.

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo katika taarifa yake ameeleza Watanzania 34.4 hadi sasa wanatumia huduma ya Intaneti.

Mkumbo ametoa takwimu hizo leo katika maadhimisho ya sherehe za miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara na mkutano wa kwanza wa kitaifa wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete.

Takwimu hizo zimeonesha ongezeko la watumiaji wa hudumu hiyo kwani mwaka 2010 watumiaji walikuwa milioni 15.2 kwa mujibu wa Prof Mkumbo.

Aidha watumiaji wa wanatumia mitandao ya kijamii nchini wamefikia milioni 16.7 ambapo watumiaji wa TikTok wamefikia milioni 1.6.

The post Watumiaji Intaneti wafikia milioni 34 first appeared on HabariLeo.

View Original Post on Habari Leo

Explore Category

  • General
  • News
  • Entertainment
  • Travel
  • Jobs and Career
  • Educational
  • Technology
  • Business
  • Tenders
  • Sports
  • International

  • NECTA Results
  • Job Vacancies
  • Football
  • Movies
  • Series
  • Settings
  • About us
  • Advertising
  • Privacy Policy
  • TZ

Copyright Peruzi Live © 2025 All Right Reserved