Peruzi Live
General News Entertainment Travel Jobs and Career Educational Technology Business Tenders Sports International All News
  • Home
  • Categories
  • Topics
  • App
  • Settings

Sh milioni 20 kujenga ofisi ya CCM Mbogwe

Habari Leo
Published: Dec 09, 2023 18:27:36 EAT   |  News

MKUU wa WIilaya ya Mbogwe, Sakina Mohamed amekusanya jumla ya Sh milioni 20 kwa ajilii ya ujenzi ya ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani humo. Sakina amekusanya fedha hizo leo Desemba 9,2023 katika harambee aliyoiendesha kwa wadau wa chama hicho. Akizungumza Sakina amesema atasimama imara kuhakikisha CCM wilayani Mbogwe inakamilisha ujenzi wa ofisi yake. …

The post Sh milioni 20 kujenga ofisi ya CCM Mbogwe first appeared on HabariLeo.

MKUU wa WIilaya ya Mbogwe, Sakina Mohamed amekusanya jumla ya Sh milioni 20 kwa ajilii ya ujenzi ya ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani humo.

Sakina amekusanya fedha hizo leo Desemba 9,2023 katika harambee aliyoiendesha kwa wadau wa chama hicho.

Akizungumza Sakina amesema atasimama imara kuhakikisha CCM wilayani Mbogwe inakamilisha ujenzi wa ofisi yake.

Amesema yeye kama Kamisaa wa chama hafurahishwi kuona CCM wlayani humo haina ofisi inayotafsiri heshima ya Chama hicho na kwa kuwa Rais aliyemteua ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM hawezi kufurahishwa akifika Mbogwe na asipate ofisi yenye hadhi.

Amesema ofisi hiyo hadi kukamilika kwake itagharimu Sh milioni 45.

The post Sh milioni 20 kujenga ofisi ya CCM Mbogwe first appeared on HabariLeo.

View Original Post on Habari Leo

Explore Category

  • General
  • News
  • Entertainment
  • Travel
  • Jobs and Career
  • Educational
  • Technology
  • Business
  • Tenders
  • Sports
  • International

  • NECTA Results
  • Job Vacancies
  • Football
  • Movies
  • Series
  • Settings
  • About us
  • Advertising
  • Privacy Policy
  • TZ

Copyright Peruzi Live © 2025 All Right Reserved