Peruzi Live
General News Entertainment Travel Jobs and Career Educational Technology Business Tenders Sports International All News
  • Home
  • Categories
  • Topics
  • App
  • Settings

Samia: Mafanikio Tanzania ni maono walionitangulia

Habari Leo
Published: Dec 09, 2023 11:05:49 EAT   |  News

RAIS Samia Saluhu amesema mafaniko ya Tanzania yametokana na maono ya viongozi waliomtangulia. Rais Samia amesema hayo leo katika maadhimisho ya sherehe za miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara na Mkutano wa kwanza wa itaifa wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete. Amewataja viongozi hao kuwa Hayati Mwalimu …

The post Samia: Mafanikio Tanzania ni maono walionitangulia first appeared on HabariLeo.

RAIS Samia Saluhu amesema mafaniko ya Tanzania yametokana na maono ya viongozi waliomtangulia.

Rais Samia amesema hayo leo katika maadhimisho ya sherehe za miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara na Mkutano wa kwanza wa itaifa wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete.

Amewataja viongozi hao kuwa Hayati Mwalimu Nyerere, Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Hayati Benjamini Mkapa, Rais mstaafu Jakaya Kikwete na Hayati John Magufuli.

Amesema kwa maono makubwa ya viongozi hao ndio wamefanikisha taifa kupiga hatua katika sekta mbalimbali.

Rais Samia ameahidi kuendelea mema yote, kujifunza kutokana na changamoto walizokutana nazo viongozi hao.

The post Samia: Mafanikio Tanzania ni maono walionitangulia first appeared on HabariLeo.

View Original Post on Habari Leo

Explore Category

  • General
  • News
  • Entertainment
  • Travel
  • Jobs and Career
  • Educational
  • Technology
  • Business
  • Tenders
  • Sports
  • International

  • NECTA Results
  • Job Vacancies
  • Football
  • Movies
  • Series
  • Settings
  • About us
  • Advertising
  • Privacy Policy
  • TZ

Copyright Peruzi Live © 2025 All Right Reserved