EPL kuendelea leo

Habari Leo
Published: Dec 09, 2023 08:47:37 EAT   |  Sports

LIGI Kuu nchini England ‘EPL’ inaendelea leo kwa michezo kadhaa, mchezo wa mapema utakuwa kati ya Crystal Palace dhidi ya Liverpool saa 9:45 Alasiri. Michezo mingine itayopigwa saa 12 jioni, Brighton dhidi ya Burnley, Manchester United itakuwa Old Trafford kuwaalika Bournemouth, Sheffield United dhidi ya Brentford. Mchezo mwingine utakaopigwa muda huo, Wolver dhidi ya Notts …

The post EPL kuendelea leo first appeared on HabariLeo.

LIGI Kuu nchini England ‘EPL’ inaendelea leo kwa michezo kadhaa, mchezo wa mapema utakuwa kati ya Crystal Palace dhidi ya Liverpool saa 9:45 Alasiri.

Michezo mingine itayopigwa saa 12 jioni, Brighton dhidi ya Burnley, Manchester United itakuwa Old Trafford kuwaalika Bournemouth, Sheffield United dhidi ya Brentford.

Mchezo mwingine utakaopigwa muda huo, Wolver dhidi ya Notts Forest.

Mchezo wa mwisho kwa leo, Aston Villa itakuwa Villa Park kuwakaribisha Arsenal.

The post EPL kuendelea leo first appeared on HabariLeo.