Peruzi Live
General News Entertainment Travel Jobs and Career Educational Technology Business Tenders Sports International All News
  • Home
  • Categories
  • Topics
  • App
  • Settings

Diaspora kushiriki maoni Dira ya Maendeleo 2050

Habari Leo
Published: Dec 09, 2023 11:09:25 EAT   |  General

RAIS Samia Suluhu amewataka Wananchi wote pamoja na wale wanaoishi Ughaibuni (DIASPORA) kushiriki kikamilifu katika uandishi wa Dira ya Maendeleo ya mwaka 2050. Kiongozi huyo wa nchi amesema hayo leo katika sherehe za miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara na mkutano wa kwanza wa kitaifa wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika ukumbi …

The post Diaspora kushiriki maoni Dira ya Maendeleo 2050 first appeared on HabariLeo.

RAIS Samia Suluhu amewataka Wananchi wote pamoja na wale wanaoishi Ughaibuni (DIASPORA) kushiriki kikamilifu katika uandishi wa Dira ya Maendeleo ya mwaka 2050.

Kiongozi huyo wa nchi amesema hayo leo katika sherehe za miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara na mkutano wa kwanza wa kitaifa wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete.

Amesema wao binafsi au kupitia makundi yao watashiriki zoezi hilo kupitia njia za kisasa zitakazoanishwa na Tume ya Mipango hapo baadaye.

“Baada ya kukamilisha uandishi wa dira ijayo, tume iandae makala fupi ya dira hiyo ambayo itakuwa na lugha rahisi inayoeleweka kwa raia weng.” Amesema Rais Samia.

The post Diaspora kushiriki maoni Dira ya Maendeleo 2050 first appeared on HabariLeo.

View Original Post on Habari Leo

Explore Category

  • General
  • News
  • Entertainment
  • Travel
  • Jobs and Career
  • Educational
  • Technology
  • Business
  • Tenders
  • Sports
  • International

  • NECTA Results
  • Job Vacancies
  • Football
  • Movies
  • Series
  • Settings
  • About us
  • Advertising
  • Privacy Policy
  • TZ

Copyright Peruzi Live © 2025 All Right Reserved