Diamond apewa sifa kuitangaza Tanzania

Habari Leo
Published: Jul 26, 2024 10:51:46 EAT   |  Entertainment

DAR-ES-SALAAM: Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo Gerson Msigwa amempongeza Msanii wa Bongo fleva Diamond Platnumz kwa kuwafikisha watanzania viwango vya Dunia kiburudani. SOMA: https://www.michezo.go.tz/ Hii imekuja baada ya jana msanii huyo kuachia kibao chake cha Komasava Remex alichomshirikisha  Jason Derulo,Khalilharison na Chley Nkosi SOMA: Diamond aongoza kupokea mkwanja mrefu Msigwa ameandika “Tumetangaza nchi, …

The post Diamond apewa sifa kuitangaza Tanzania first appeared on HabariLeo.

DAR-ES-SALAAM: Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo Gerson Msigwa amempongeza Msanii wa Bongo fleva Diamond Platnumz kwa kuwafikisha watanzania viwango vya Dunia kiburudani.

SOMA: https://www.michezo.go.tz/

Hii imekuja baada ya jana msanii huyo kuachia kibao chake cha Komasava Remex alichomshirikisha  Jason Derulo,Khalilharison na Chley Nkosi

SOMA: Diamond aongoza kupokea mkwanja mrefu

Msigwa ameandika “Tumetangaza nchi, tumenadi utalii ,tumetangaza lugha yetu ya kiswahili,tumewapaisha wanamuziki wa Tanzania,Tumeionesha Dunia ukarimu na ucha Mungu”amesema Msigwa

The post Diamond apewa sifa kuitangaza Tanzania first appeared on HabariLeo.