Tecno Camon 20 yaja kivingine

Mtanzania
Published: Aug 29, 2023 14:28:14 EAT   |  Technology

*Toleo lenye kung’aa kwenye giza Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Kampuni ya Simu za mkononi ya TECNO kwa mara nyingine tena kupitia toleo la CAMON 20 imefanya mabadiliko katika muundo wa nje kupitia baada ya kutoa taarifa juu ya ujio wa toleo jipya la CAMON 20 la Mr Dooble namna inavyoweza kubadilika rangi kulingana na […]

*Toleo lenye kung’aa kwenye giza

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

Kampuni ya Simu za mkononi ya TECNO kwa mara nyingine

tena kupitia toleo la CAMON 20 imefanya mabadiliko katika muundo wa nje kupitia baada ya kutoa taarifa juu ya ujio wa toleo jipya la CAMON 20 la Mr Dooble namna inavyoweza kubadilika rangi kulingana na mabadiliko ya tabia ya Mwezi.

“Mfululizo wa TECNO CAMON siku zote umejitolea kuleta Sanaa yenye teknolojia ya kibunifu ambayo huvunja mipaka kila mara na kuleta bidhaa za kisasa katika ubora wa hali ya juu mabadiliko haya yanaambatana na ari ya ubunifu wa Mr Dooble na tunatumani kwa ushirikiano huu itawaletea watumiaji wa toleo hili la Mr Dooble taswira mpya kwa chapa hii ya TECNO,” amesema Jack Guo, Meneja Mkuu wa TECNO.

Camon 20 Series ya Mr Dooble hutumia teknolojia ya kubadilisha rangi kulingana na mabadiliko ya tabia ya Mwezi, inachanganya michoro ya graffiti ya Mr Dooble na muundo wa kipekee wa 3D wa CAMON 20.

Jalada la nyuma hufyonza mwanga wakati wa mchana na kuiachilia kama umeme wakati wa usiku, nahivyo kuruhusu sehemu ya nyuma ya simu kuonyesha kazi za graffiti za Mr Dooble.

Muundo wa kipekee wa toleo la Mfululizo la CAMON la CAMON 20 la Mr Dooblehuifanyakuwaaikoniyamitindowakatiwamchananakuvutia macho wakatiwausiku, nakuifanyakuwa bora kabisainayochanganyamitindona Sanaa.Taswirayamuundowanjeni 3D.

TECNO CAMON 20 Toleo la Mr Dooble pia imekujanamandhariiliyogeuzwakukufaakwamtindowagrafitiya Mr Dooble, AR SHOT na AOD, hivyobasihuwaleteawatumiajimshangaozaidiyakuonekana.

Sifanyenginezamatoleohayaya Mr Dooble; CAMON 20 Pro kamerakuuyanyuma 64MP na 32MP Selfie Camera | 33W flash charge 5000mAh | 256GB ROM + 8GB RAM, Wakati CAMON 20 Premeire network 5G: camera yakuuyanyuma 108MP , 32MP Selfie Camera | 45W flash charge 5000mAh | 512GB ROM + 8GB RAM.