Fahamu toleo jipya la Tecno Camon 20

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital TECNO kwa Mwaka huu wa 2023 imeachia Toleo la CAMON 20 ya Magic Skin na CAMON 20 Toleo la Bwana Dooble. katika muundo wa Sanaa CAMON 20 Toleo la Doodle ina mtindo wa michoro ya Doodle katika jalada la nje lakini pia kufyoza mwanga wakati wa mchana na kugaa nyakati […]
TECNO CAMON 20 Toleo la Dooble ina mandhari iliyogeuzwa kukufaa kwa mtindo wa grafiti ya Bw. Dooble, AR SHOT na AOD, hivyo basi huwaletea watumiaji mshangao zaidi ya kuonekana.
Simu hizi mahiri TECNO CAMON 20 pro na TECNO CAMON 20 Premier zinaashiria maana halisi ya ubunifu na mabadiliko ya teknolojia simu hizi haziwasilishi mvuto wa nje tu bali pia iko vyema katika kupiga picha na kurecord video za simu.
TECNO CAMON 20 Pro 5G Dooble ina camera kuu ya Megapixel 64 nyuma (Night Potrait Master), 32MP Selfie Camera, 33W flash charge 5000mAh, 256GB ROM + 8GB RAM.
CAMON 20 Premiere 5G Doodle ina camera kuu ya Megapixel 108 wide angle (Night Portrait Master), 32MP Selfie Camera, 45W flash charge 5000mAh, 512GB ROM + 8GB RAM. Simu hizi zinapatika katika maduka yote ya simu lakini pia @tecnomobiletanzania wameweka huduma ya mkopo bila ya Riba kwa wataopendezwa kumiliki simu hii ya kisasa na kushuhudia ubunifu mpya wa simu hii inavyog’aa wakati wa giza.Tembelea @tecnomobiletanzania au piga namba 0714029870 kwa huduma ya haraka.