Yanga matumaini bado yapo, Al Ahly ikishikwa

KLABU ya Yanga imeshikiliwa katika sare ya 1-1 dhidi ya Medeama ya Ghana, lakini makosa ya uamuzi yaliinyima bao ambalo lingetosha kuipa ushindi wa kwanza katika mechi yao ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.