Wagosi sasa bado moja tu

Mwanaspoti
Published: Mar 24, 2023 11:24:19 EAT   |  Sports

WAGOSI wa Kaya, Coastal Union ya Tanga wanazidi kujiimarisha kipindi hiki baada ya kutoka mapumziko wakati timu nyingine wachezaji wakiendelea na mapumziko huko Tanga unaambiwa hakuna kulala.